Nilikua nshafika 89

12:50:00 Unknown 0 Comments

Wakiwa wameamua kula kwene hoteli moja kubwa ya kitalii, katikati ya mlo na vinywaji jose akaamua kumuuliza mkewe Mary: "Mpenz ,hivi kabla yangu ulikua na wanaume wangapi?"

Mary akabaki kimya kwa muda mrefu. Akidhani kua pengine hajasikia swali lake Jose akauliza tena, lakini bado Mary akabaki kimya na kumfanya Jose afoke: "yaani unanidharau kiasi hiki? Nakuuliza swalihutaki kujibu sio?"

Kwa upole Mary akajibu: Sweetie si ndo nawahesabu kimya kimya! Nilikua nshafika 89. Ngoja nianze upya. 

kama wewe utafanyaje?

You Might Also Like

0 comments: