RIPOTI KUTOKA KWENYE SENSA 2012 HUKO NYUMBANI KWA BABA YAKE ANDROID RWEYEMAMU.

11:00:00 Unknown 0 Comments



Baba yake Android Rweyemamu, mzee Photocopy Rweyemamu anapoondoka nyumbani akaacha maagizo kwa beki tatu wake kama ifuatavyo:

Mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimekwenda wapi actually tell them nimekwenda bank kuchukua milioni 30 kwa ajili ya tuition fees za kaka zenu wawili ambao wana-pursue I mean wanasoma PhD Uingereza. Wakiuliza jumla tupo wangapi tell them we are eight I mean tupo nane, but bibi mzaa baba is in India for medication I mean anatibiwa huko kwa mwezi mzima until now, na imetucost up to this moment about milioni sabini. About mama yenu waambie yupo site, ana-supervise offloading I mean ushushwaji wa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya finishing kutoka Japan na Germany which have costed our family kiasi cha milioni 600. Halafu about members wengine wa family tell them kuwa wamekwenda kutembea Serengeti National Park na rafiki zao kutoka Australia, na they are using I mean wanatumia Hammer na Range Rover. Kama watahitaji kuongea na mimi wape namba ninayotumia kwenye Blackberry tu ile ninayotumia kwenye Galaxy Tab usiwape because it is only for family I mean ninatumia kwa mambo ya kifamilia t

You Might Also Like

0 comments: