Dunia haina haki,

07:59:00 Unknown 0 Comments


Mwanamke akiwa na mabwana 6 anaitwa malaya, mwanaume akiwa na wanawake 6 anaitwa 'kidume'. Au ndio kama hadithi ya funguo na kufuli? Kufuli likiweza kufunguliwa na funguo nyingi inaitwa kufuli mbovu, funguo moja ikiweza kufungua kufuli nyingi inaitwa 'Master Key'

You Might Also Like

0 comments: