Kweli kua uyaone
Sikuwahi kuamini kuwa kuna nguvu za giza katika maisha yangu ila baada ya mkasa huu sasa naamini kuna nguvu hizo na yatupasa kukesha tukiomba.
Miaka mitano iliyopita nilihitimu chuo kukuu na kuwa mwalimu mkoani Arusha.
Siku moja baada ya ...miaka miwili ya kazi nili bahatika kupata nafasi ya kwenda kozi ya mwezi mmoja pale jijini Dar.
Nikiwa Dar usiku mmoja katika hotel moja nikakutana na kijana Severin kijana niliyehitimu naye chuo enzi hizo, na kwa kuwa enzi hizo tulishawahi kuwa na mahusiano tukajikuta baada bia mbili tatu tukiamua kukumbushia enzi hasa ukizingatia tangu nihamie Arusha nilikuwa alone.
Baada ya hapo tukazoeana na mwaka mmoja baadae tukaamua kuja kuishi kama mtu na mumewe.
Nikahamia kwao huko mkoani Iringa na kiukweli jamaa alikuwa kajijenga vya kutosha ndani ya ile miaka kadhaa.
Ki ukweli kuna mambo sikuyapenda pale nyumbani kwani masharti yalianza na kuna chumba mle ndani sikutakiwa kuingia na kama nikitaka hela za matumizi lazima niombe saa mbili kamili usiku tuu na mimba nikawa sishiki kabisaaaaa.
Ile hali ikaanza kunipa wasiwasi ingawa kila kitu nilipewa na usafiri mzuri wa kutembelea.
Wiki chache zilizopita nikaona kama noma na iwe noma nikategea akiwa kazini nikaufungua ule mlango haki ya Mungu ile kufungua tu nikaona jitu la ajabu pamoja mtu aliyefanana na mama yake ambaye niliambiwa kafa miaka 5
iliyopita nami sura ile niliitambua kupitia picha na kulikuwa na vindondocha kadhaa.
Majabu ni pale baada ya kuufunga ule mlango mara nikapigiwa simu kuwa gari letu moja nimeanguka huko Songea mara duka moja likawaka moto ndani ya siku moja umasikini ukaingia.
Baada ya kujua mie ndio nilifungua akaja na kutaka kuniua na ikanilazimu kukimbilia kwetu ambako niko sasa
Na kwa habari za hivi punde ni kuwa severini ni kichaa kabisa wa kuokota makopo.
Sitaki kuamini kama chumba kile ndio ulikuwa mhimili wa biashara zake pamoja na mimi kutoshika mimba.

0 comments: