BINTI AKIMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE KWA BABAAKE.!!
Binti:Baba nimepata mpenzi lakini yuko mbali
sana na hapa Tanzania. Yuko Uingereza,
London. Kuna website moja ya watu
wanaotafuta wapenzi tulikutana humo, tukawa
marafiki kwenye Facebook, tumechat kwenye
Whatsapp sana, juzi kwenye Skype amepropose
kunioa na sasa uhusiano wetu una miezi
minne.
Baba nahitaji baraka zako ili uhusiano
uendelee vizuri tuoane.
Baba:Dingi akaweka gazeti chini, akakuna
kipara kidogo, akavua miwani, halafu akamjibu
mwanae:
Vizuri sana mwanangu. Hongera kwa kupata.
Sasa fanyeni mpango muoane kabisa kupitia
mtandao wa Twitter,
watoto mnunue kwenye mtandao wa e-Bay na
wawe wanawatembelea kupitia e-mails zenu na
siku ukimchoka huyu mumeo basi umuuze
kwenye mtandao wa Amazon!
Kizazi cha hovyo kabisa hiki! ------- Mnadhani
kila kitu ni mtandao!
Non sense!
0 comments: