Haki ya nani ukiwa na toto kama hili unaweza lipeleka kusoma huko kigonsera likalime huko

08:47:00 Unknown 1 Comments

MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari MKE: Sitaki....mtoto wao
aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie
baiskeli BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa

You Might Also Like

1 comment:

  1. aseee kigonsera iko mjini sana kwa mtoto kama huyu naona angepelekwa ntimbanyosi au ndongosi akasalimiane na nguguze boko haramu.

    ReplyDelete