Hasira za konda zasababisha makubwa
Konda alikuwa kakasirika sana, abiria alikuwa kagoma kulipa nauli akisisitiza eti yeye ni denti, wakati kila mtu alimuona ni mtu mzima, konda akamkunja jamaa, wakapigana sana, abiria alipoona anapigwa akaanza kukimbia, konda akamfukuza abiria akaaingia kwenye shimo, konda alipofika pale akakuta yeye hawezi kuingia kwenye shimo, kwa kisirani akaamua amkojolee humohumo kwenye shimo, wananchi waliokuwa karibu wakamhamasisha konda, 'Mnyee huyo, konda mnyee', konda akavua suruali na kulenga lile shimo na kuachia kitu. Hapo ndipo sauti ya hasira ya mkewe ikamuita, ikiambatana na makofi, konda akazinduka toka usingizini, akakuta kishaharibu mambo yote kitandani
0 comments: