Hatimaye Mbu jamii ya Culex na Anopheles nao sasa wahamia Dengue:

17:50:00 Unknown 0 Comments




Katika mkakati wa kwenda na wakati na kuhamia digital mbu ambao hapo
awali walikuwa wakiambukiza magonjwa kama malaria na mengineyo sasa nao wame-install app mpya inayowaruhusu kwenda na wakati na kuambukiza 
Dengue. 

Nzi nao wameajiri software developer mpya ili kuendana na kasi hiyo ya mabadiliko!

You Might Also Like

0 comments: