Hebu nawe msome mdaku huyu
Mama mdaku alishangaa kila siku mchungaji wa kanisa lao anaingia nyumbani kwa jirani ambaye hana mume, akawa anajiuliza anaenda kufanya nini anakosa jibu. Mwisho Uzalendo ukamshinda akaamua kumuuliza jirani,"Mwenzangu mbona kila siku mchungaji anakuja kwako??? Vipi anakuja kukuombea????" Akajibiwa, "Msenge nini, mbona kwako kila siku anakuja mwanajeshi, kuna vita???? UMBEA TU.
0 comments: