Jamaa mbio zimemwokoa
Jamaa mmoja, aliingia gest na jimama, likavua nguo zote na kuzitundika kabatini, jamaa akashituka kuona jimama limeweka bastola kitandani,
Jamaa akauliza:mhh hii nayo ya nini?
Jimama likajibu: wanaume wengine washenzi sana wanakuvuruga usiku kucha halafu asubuhi wanakupa 150,000/= tu, zitakusaidia nini?
Wakati huo jamaa ana 7000/= tu mfukoni!
Unajua nini kiliendelea?
0 comments: