Kama bado wafanya mambo haya Mungu anakuona

20:40:00 Unknown 0 Comments

1. Unanunua gazeti la udaku halafu unaliweka
katikati ya gazeti la Mwananchi- Mungu
anakuona
2. Unajenga nyumba kisha unazungushia ukuta
wenye geti kubwa, kumbe ndani hakuna nafasi
hata ya kupaki baiskeli- Mungu anakuona
3. Home choo cha shimo, unadanganya eti
unatafuta fundi bomba flash imeharibika -
Mungu anakuona
4. Umekula ugar na bamia halaf unakuja
maskan na kijiti mdomon - Mungu anakuona
5. Unasoma karibu nikutume secondary school
bt fb waandika unasoma feza- Mungu
anakuona
6. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss'
halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU
ANAWAONA
7. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext
watu,'Niko nje napata upepo
mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
8. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali
mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako
unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
9. We ni kiserengeti boy una mupenzi wa miaka
50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au
nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
10. Unapiga picha sebule ya boss wako
unaiweka FB na kukoment Home Sweet
Home........MUNGU ANAKUONA

You Might Also Like

0 comments: