KAMA UNA MIAKA 18 NA KUENDELEA TAFADHALI ACHA HUU UPUUZI:

17:24:00 Unknown 0 Comments



1. Kuandika 'x' sehemu ambapo unatakiwa kuandika 's' mfano. Xaxa
2. Kuandika kwenye timeline yakonina njaa nani aninunulie chakula au nataka mchumba 
3. Kupost 'Nkt' au 'Aaaargh' ili watu wakuulize nini kinakusibu
4. Kufupisha maneno
5. Kubadilisha herufi ya kila neon mpaka haileti maana. mfano 'dis da kynd of weda I eight'
6. Kupost matatizo yaw ewe na mwili wako au mpenzi wako
7. Kujisifia umekunywa bia nyingi
8. Kuweatag watu picha za matusi au za upuuzi
9. Kutumia picha feki za watu wengine kwa kuwa wewe unajiona sio mzuri wa kuvutia.
10. Kufungua akaunti feki ili uwide wanawake

HUU UJINGA HATUUTAKI 2014!!





You Might Also Like

0 comments: