Kati ya mimi na mama yako unampenda nani zaidi?
BABA: Kati ya mimi na mama yako unampenda nani zaidi?
DOGO: Nawapenda wote
BABA: Mimi ningeenda Dubai halafu mamako akaenda London, we ungeenda wapi?
DOGO: Ningeenda London
BABA: Kwanini?
DOGO: London nakupenda
BABA: Je, mi ningeenda London mama yako
Dubai we ungeenda wapi?
DOGO: Ningeenda Dubai
BABA: Hee, unanikwepa unamfwata mama yako
DOGO: Hapana, London si ningekuwa nilishakwenda
0 comments: