Kijana kanichafulia jina
Hello Admin,
Mimi ni kijana ambaye kiukweli nilivutiwa sana na uigizaji wa MICHAEL SCOFIELD katika tamthiliya ya Prison Break mpaka nikafikia kujiita jina la SCOFIELD
Sasa baada ya kuenea uvumi wa kuwa jamaa ni sio riziki mtaani kwangu nakosa raha maana jamaa wananitania kwa majina ya ajabu.
Je ninaweza kuwachukulia hatua yoyote ile kisheria wasitishe mjina yao kwangu?
Maana mimi nililipenda jina kutokana na kazi yake kisanii na sio maisha yake binafsi.
Naomba msaada wa mawazo toka kwa marafiki.
Asante
0 comments: