KWA TAARIFA NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE
jamaa:unasoma?
demu:sisomi,vipi wewe unasoma?
jamaa:ndio nipo kidato cha nne roleto.
demu:jamani hiyo si ni shule ya wasichana?
jamaa:aaah nimechanganya nipo ngaza
demu:mweeembona nayo ya wasichana
jamaa:ha! ha! ha! nilikuwa nakutania tu nachukua masters VETA.
demu:mh ina maana VETA imeanza kutoa masters?
jamaa:ishia zako demu mwenyewe hulipi wala nini unaniuliza maswali kama tuko uhamiaji?
KWA TAARIFA NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE
0 comments: