Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya!!!
"Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates
"Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhurumu Viatu" – Abraham Lincoln
"Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule" - Dr Ben Carson
"Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi" - Lionel Messi
"Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewana Wahisani" - Steve Jobs
"Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli" – Tony Blair
KUMBUKA:
Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila ni juu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya!!!
USIKATE TAMAA


0 comments: