Mke na mme waumbuka kisa michepuko vumbi........ Wine yapelekea mambo haya yote kutokea
Bosi mmoja alikuwa na mazoea ya kununua wine anakunywa kidogo anaiacha juu ya kabati kasha anaenda kazini…lakini kila siku
houseboy wake alieitwa Bakari alikuwa anakunywa kidogo alafu anaweka maji ili bosi asijue imepungua.
houseboy wake alieitwa Bakari alikuwa anakunywa kidogo alafu anaweka maji ili bosi asijue imepungua.
Bosi alihisi hali hii coz ilikuwa akiinywa tena baadae anakuta
imebadilika ladha,siku moja akamuekea mtego kwa kununua wine ambayo ikiwekwa maji inabadili rangi na kuwa kama maziwa.
imebadilika ladha,siku moja akamuekea mtego kwa kununua wine ambayo ikiwekwa maji inabadili rangi na kuwa kama maziwa.
Kama kawaida bosi akanywa wine kidogo akaenda kazini,houseboy nae akaenda kama kawaida yake akanywa kidogo alafu akaweka
maji…ghafla ikabilika rangi na kuwa kama maziwa…houseboy akachanganyikiwa akaenda kujificha jikoni.
maji…ghafla ikabilika rangi na kuwa kama maziwa…houseboy akachanganyikiwa akaenda kujificha jikoni.
Bosi aliporudi akakuta wine imebadilika rangi,akaanza
kufoka,akamuita mke wake karibu na kumwambia leo tumeshika mwizi.
kufoka,akamuita mke wake karibu na kumwambia leo tumeshika mwizi.
Bosi:”Bakari…wee Bakari!”
Bakari:”Yes boss.”
Bosi:”kwanini umekunywa wine yangu na ukaweka maji?
Bakari:[Kimya]
Bosi:”Kwanini umekunywa wine yangu?”
Bakari:[Kimya]
Bakari:”Yes boss.”
Bosi:”kwanini umekunywa wine yangu na ukaweka maji?
Bakari:[Kimya]
Bosi:”Kwanini umekunywa wine yangu?”
Bakari:[Kimya]
Bosi akapandwa na hasira akamfuata bakari
jikoni huku mkewe akiwa nyuma.
Bosi:”Nimekuita umeitika,lakini swali langu
hujibu kwanini?
Bakari:”Bosi ukiwa huku jikoni hausikii kitu chochote isipokua jina lako tu, kama
huamini baki humu ndani ujionee.
Bakari akatoka nje na mke wa bosi na kumwacha bosi ndani.
Bakari:”Boss.”
Bosi:”Yes Bakari.”
Bakari:”Nani hupenda kuingia chumba cha
housegal wakati madam boss yuko kazini?”
Boss:[Kimya]
Bakari:”Nani hulala na housegal wakati
madam boss amesafiri?”
Boss:[Kimya]
Bosi akafungua mlango wa jikoni,akatoka na
kusema:”Walai maajabu ukiwa humu ndani
huskii chochote isipokuwa jina lako tu!”
Mke wa bosi akaja juu:”Pumbavu! Waongo
wakubwa nyie…nini kinaendelea hapa
enh??”
Bakari:”Ukweli mama ukiwa ndani unasikia
jina lako pekee….kama unabishana ingia
utaamini!”
Mke wa bosi akaingia jikoni na kumwacha
mume wake na bakari nje.
Bakari:”Madam?”
Mke:”Yes Bakari?”
Bakari:”Sema ukweli nani baba yake mtoto
kati ya mimi na bosi?”
Mke:[Kimya]
Bakari:”Eeh..tuambie nani aliyekupa hio
mimba?”
Mke:[Kimya]
Akafungua mlango akatoka:”Aaah…ni
kweli,humu ndani kunahitaji maombi,yaani
ukiwa ndani unasikia jina lako pekee!”

0 comments: