Sitaki nataka ndio habari ya Mbeya wakati Dar wao bado wana Dengue
Nipo hotel x nainjoi sana mazungumzo ya meza ya jirani
Jamaa amekuwa akimfuatilia binti kwa mwezi na zaidi ila binti anagoma.
Jamaa kaamua kumtokea rafiki wa binti ambaye hakuwa na shida akakubali.
Sasa binti kaja analalamika kuwa kwa nini umemfuata rafiki yangu wakati mie nilitaka kukukubali wiki ijayo?
Najikaza kucheka maana binti kanifurahisha kumbe anatishia kujamba wakati anaharisha
0 comments: