Soma jinsi Msukule wa kijana ulivyo wawatembelea wafanyakazi wenzie
Jamaa kaaga kazini kuwa anaenda kwenye mazishi ya mjomba wake. Kesho yake alipo ripoti kazini akaambiwa anahitajika kwa bosi,Bosi: Pole na msiba wa mjomba wako
Jamaa: Asante bosi, umeniuma sana kwa kweli.
Bosi: Ukoo wenu kuna tatizo la misukule?
Jamaa: Hapana bosi, kwanza mimi siamini mambo ya kishirikina
Bosi: Nadhani sasa limeanza, maana jana wakati umeenda kwenye mazishi ya mjomba wako,msukule wake ulipita hapa kuja kukusalimia.
0 comments: