Ujinga wa mwanaume mwenye nyumba ndogo ni huu;
1.nyumba ndogo kuna thamani za gharama kuliko kwake
2.nyumba ndogo anendesha gari zuri kuliko mkewe
3.nyumba ndogo ana mavazi ya gharama kuliko mkewe
4.nyumba ndogo anaenda saloon nzuri mkewe anasukwa barazani
5.watoto wa nyumba ndogo ambao mara nyingi si wake wanasoma shule nzuri kuliko watoto wake
6.nyumba ndogo anakula vizuri na majuisi pembeni kwake maharage na dagaa ndo mboga.
0 comments: