Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...

15:23:00 Unknown 0 Comments

Upo Salon, mumeo anajadiliwa na wasichana waliopo hapo Salon... Hawajui kama wewe ndo mkewe...

Mmoja wao anatembea nae. Unamsikia mumeo anajiachia tu... Hajui kama kawekwa kwenye loud speaker... Wanakata simu wanacheka mbaya! Mbaya zaidi, wanasema jamaa anamponda mke wake ile mbaya, wanataja na mapungufu yako ambayo kwa asilimia kubwa ni ya kweli....

Je..? Utafanya nini kama ni wewe...?

You Might Also Like

0 comments: