VITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA.

22:36:00 Unknown 0 Comments




1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka. 

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana hapa!...

Unaruhusiwa kukomenti kama unachakusema kuhusu hizi mambo.

NB: Kulala na chupi hasa kwa wanaume kunapunguza uwezo wa reproduction, actually hatutakiwi kuvaa chupi kwa maslahi ya temperature in maintanance of our reproductive parts (mapumbu), kwa hiyo kuvaa chupi au nguo ya kubana ( siku hizi kuna jinsi model za kiume nazo sio nzuri kama si lazima kuvaa na kama ni lazima basi itumike kwa masaa machache, kingine chupi zisizo na ventilation (siku hizi ziko nyingi sana tena si cotton) mbaya sana at the optimal functioning of testes. Ni hayo tu kwa sasa.

FUATA SHERIA BILA SHUTRUTI...

You Might Also Like

0 comments: