WAZIJUA AINA TATU ZA MICHEPUKO? soma hapa..........

17:26:00 Unknown 0 Comments

Aina ya kwanza:

MICHEPUKO YA LAMI....Hii ni michepuko ambayo
haiombi pesa, ipo njema, inajua design zote za
kimjini, imetulia haina mapepe awe nae au usiwe
nae yeye maisha yanaendelea fresh!

Aina ya pili:

MICHEOUKO YA VUMBI....Hii ni michepuko oooh
sina pesa, naomba vocha,sijui simu imekufa, aa
chaji iko low, mara niko saluni nadaiwa elfu 30
nitumie kwa tigo pesa, hujakaa vizuri naomba
nauli, nadaiwa kodi ya nyumba, please call me! yaani taabu ukiona namba yake tu unaanza kujisachi!

Aina ya tatu:

MICHEPUKO YA KOKOTO..... Huu ni makali zaidi
ya njia kuu, inajifanya inakupenda kuliko mama
yako mzazi! mara uko wapi, uko na nani, huyo
sitaki uwe nae, nipeleke kule, fanya hivi! YAANI
masharti kibao utadhani dhamana ya kesi ya
kubaka!

You Might Also Like

0 comments: