BAADHI ya wanawake huolewa kwa sababu zifuatazo
1. Kukataliwa na aliyekuwa akimtaka2. Kuondoa mkosi
3. Kujionesha kwa wanawake wenzie
4. Kujaribu maisha ya ndoa
5. Kuwania kitu fulani kwa mume au kazini kwake
6. Kukwepa maisha ya kwao
7. Kumjaribu mwanaume kama anajua mambo
8. Kuiga (kama alivyoolewa fulani)
9. Kumkomoa zilipendwa wake na
10. Kutengeneza historia
Ndoa za namna hii huwa hazidumu na wanawake
wa aina hiyo hata mnapogombana huwa
wanarudi makwao. Ndoa haijaribiwi-Ndoa ni
maisha
0 comments: