Foleni ndeeeefu kwenye daladala,
Foleni ndeeeefu kwenye daladala,
Jamaa kaona heri amtumie SMS bosi wake kumtaarifu kuwa atachelewa.
Ile kumaliza kuandika tu, kibaka kakwapua simu.
Jamaa kwa kujua kitakachofuatia kazini,kaishia kupiga kelele' Bonyeza send, bonyeza send!
bonyeza send wewee!
0 comments: