Ha ha ha walai tea sasa fuledi atumiwa maombi tata na wadau "tatizo langu ni kuwa nawapenda sana wanaume warefu lakini kila anayenifuata ni andunje (mfupi)" Nifanyeje
Hello Fuledi,
Mimi ni msichana wa miaka 25, ila tatizo langu ni kuwa nawapenda sana wanaume warefu lakini kila anayenifuata ni andunje (mfupi)
Nifanyeje ili niweze pata mtu mrefu,maana nasikia watu wafupi wana visirasi sana
Asante

0 comments: