HII NDIO FACEBOOK ADDICTION...............................

20:26:00 Unknown 0 Comments



Mtu Ana-update status fb: "Nipo online lecture room,Leacturer anaboa kishenzi..."

Lecturer ana comment kwenye hiyo status: "Toka darasani kwangu Faster you idiot...!" 

Principal wa chuo ana like iyo comment...

Mama yake huyo mtu naye ana
comment:"ikitokea umefukuzwa chuo usije kunisumbua nyumbani...

Baba yake ana like iyo comment ya mama...

Baba tena nae ana comment:"Na kama ukirudi nyumbani tutakupeleka kituo cha polisi ufunzwe adabu..."

Mama yake huyo mtu pamoja na mkuu wa kituo cha polisi(OCD) wana like iyo
comment...

Mkuu wa kituo cha polisi(OCD) ana comment: "Na
ukisumbua sana tunakupeleka
Segerea....

" Mkuu wa Magereza wa Segerea ana-like comment ya mkuu wa kituo cha polisi.

Mkuu wa gereza nae ana-comment,huku nafasi zimejaa labda mtampeleka gereza la ukonga......

Mkuu wa gereza la ukonga nae ana-like comment ya Segerea.....................................

"Ahh hii kweli ni facebook addiction"

You Might Also Like

0 comments: