Kama ungejkutwa na mkasa huu wewe ungechukua hatua gani?

14:21:00 Unknown 0 Comments



Kwa mfano unashtuliwa na kofi moja zito la uso mpaka unafumba macho ile hujakaa sawa inakuja ngumi ya pua. 

Halafu unasikia sauti ikisema "NILIKWAMBIA IPO SIKU NTAKUKAMATA" ile unainua sura unakutana na mtu usiemjua kabisaaa. 

Halafu na yeye baada ya kukuona vizuri anasema "SAMAHANI NIMEKUFANANISHA"

je ni uamuzi gani utakaochukua?

You Might Also Like

0 comments: