Kuna mdau kanitumia njia za kupunguza hasira pale timu yako ikipata kipigo cha aibu
1. Hakikisha una chupa ya maji na maji yapo mdomoni usije ukaropoka na kupewa kipigo.
2. Jaribu kujichekesha kidogo hata kama unaona unazidiwa na mashabiki
3. Jaribu kuimbaimba kidogo huku ukisoma notifications za fb jibu sms za watu ila zisizohusu mpira.
4. ?????
0 comments: