Leo nimekumbuka zile pichu aina ya VIP.... zile ulikuwa ukizubaa unaweza kuzidakia shingoni zikitaka kujitoa....

14:06:00 Unknown 0 Comments

Embu Tujikumbushe enzi za chupi V.I.P wakati huooo Una..

V.I.P Ni aina ya chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali jinsia,

Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana kukatika pale ikweta,Then kama uko una piga boli,mpira wa makaratasi ghafla Unaikuta imepanda mpaka Mgongoni.

Mnaikumbuka VIp?

You Might Also Like

    0 comments:

    Follow Me On Instagram