Neymar avunjika ............................ Pigo kubwa kwa Brazil
Staa huyo mwenye mabao manne mpaka sasa kwenye michuano hiyo, alitolewa uwanjani dakika tatu kabla ya mechi yao dhidi ya Colombia kumalizika.
Katika mechi hiyo, Brazil walishinda mabao 2-1 na kutinga Nusu Fainali ambapo watakutana na Ujerumani Julai 8 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa za daktari wa timu ya Brazil, Neymar atakaa nje kwa takribani wiki nne.
- See more at: http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/2014/07/pigo-brazil-neymar-avunjika-kutoshiriki.html?utm_source=twitterfeed&utm_medium=twitter#.U7jPLajYWRw

0 comments: