Wengi wanavyoamini:

20:13:00 Unknown 0 Comments


1. Mvua ikinyesha wakati jua linawaka……….simba anazaa

2. Ukinywa maji ya nazi……utapata busha

3. Mtu akikuruka…..utakuwa mfupi

4. Usiokote chakula kilichodondoka…..shetani amekila

5. Mtu akikuuma, pka mavi ya kuku alipokuuma…meno yake yataoza

6. Ukifagia usiku…unafagia bahati

7. Uking’oa jino tupia juu ya bati…kunguru wakichukua watakuletea jingine


8. Ukimpiga mbayuwayu na manati chanjia damu yake unakuwa na shabaha


9. Ukivaa kiatu kimoja…titi la mamako litavimba


10. Mtu akisimama nyuma yako wakati umekaa anakunyonya damu


11. kiganja kikiwasha utapata pesa ongeza nawe

You Might Also Like

0 comments: