Aina ya mpenzi wa kike anayeweza kukufanya uishi kwa raha hapa duniani
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sanaaa!
4. Umejipunzisha kwenye kochi au au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakuambia baby hayo ni maisha tu,usijali tutafanikiwa tu)
8. Anajua unataka nini na kwa wakati gani.
9 Hana tabia ya uchoyo na umbea
10. Atakukumbusha usome na kulike Tabasamu na Fuledi
0 comments: