Kuna dada mmoja niliikuta email yake kwenye inbox yangu ya hapa FB na kaniahidi kunipa fedha ya kwenda kuishi nae huko USA
kuna dada mmoja niliikuta email yake kwenye inbox yangu ya hapa FB, kiukweli picha zake nzuri na tukaanza wasiliana na amekuwa akiniahidi kunipa fedha ya kwenda kuishi nae huko USA.
Tangu hapo nimekuwa nikimtumia mshahara wangu nusu ili aandae nyumba ya kufikia. ila ni wiki ya saba sasa emails zake hasifanyi kazi na ile account haipo tena maana ilikuwa ni ya western union, na nimeshatuma hela nyingi sana.
Nifanyeje?
0 comments: