Nazichukia tabia za baadhi ya wanaume limbukeni

23:08:00 Unknown 0 Comments

Ninachukia tabia za watu hasa wanaume mpo
bar anaongea na mpenzi wake kwa simu na
kuweka load huku wanaongea nyeti zao......
ushamba na ulimbukeni wa mapenzi na
kumdhalilisha mwenzako

You Might Also Like

0 comments: