ONYO

13:36:00 Unknown 0 Comments

ONYO
SHADDY CLASSIC BLOG tafadhali acha kucopy na kupest visa vya tabasamu na fuledi bila kuonyesha umechukua wapi.
Ni vyema ukajaribu kuheshimu kazi za vijana wenzako wa kitanzania kuliko unachofanya kwani hakitakupa mafanikio ya blog yako na kukudumaza wewe kifikra pia.
Mbona haukopi nyimbo za wasanii na kuziimba zaidi ya kuonea kazi za maadhishi?
HAKI ZOTE ZA VISA HIVI ZIMEHIFADHIWA
611 people reached
LikeLike ·  · 

You Might Also Like

0 comments: