"Watch out ladies,

17:07:00 Unknown 0 Comments

"Watch out ladies, Cku izi wanaume hawaangalii uzuri wako, mapaja wala tits unazotupia kwenye social networks, pumba unazopost kila kukicha, wanachoangalia..je ww ni wife material? Una sound wise? Au majanga tu! Jidanganye mjini sura kijijin tabia...utaishia kucheza Kwaito kwenye wedding za wenzako mpaka miguu iote sugu...!!" Watumie wadada wenzio ili wapate kuamka..

You Might Also Like

0 comments: