Linda Moyo wako "Usinung'unike" Kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako.
Linda Moyo wako "Usinung'unike" Kutokana na magumu unayokutana nayo katika mizunguko yako.
Lakini ufundishe moyo wako Kuamini mafanikio yaliyo mbele yako. Usiangalie nani anasema nini na yupi anasema kipi juu ya maisha yako.
Jambo la msingi ongeza bidii na simamia mipango yako.
Pia jiamini kwa maamuzi yako, Hakika siku moja utakuwa mtu wa thamani sana.
Waliokuwa wanakudharau watakuheshimu. Asandi
0 comments: