ana Mimba ya miezi 3 ambayo ilitungwa hapa Ofisini na kama sipati kazi nitamtaja na baba
Katika kiwanda kimoja maarufu cha kutengeneza mivinyo muonjaji (tester) alifariki hivyo mkurugenzi akatoa tangazo la kumtafuta muonjaji mpya wa kuziba pengo.
Basi siku ya pili baada ya tangazo akaja mzee mmoja mlevi akiwa na manguo ya ajabu kuomba nafasi.Boss kuona hivyo hakupendezewa kila akaona ampe vinywaji sisivyotengenezwa hapo ili ashindwe na kuondoka.
Akamletea wine kwenye glass, yule mzee akaionja na kusema hii wine imetengenezwa South afrika akakitaja na kiwanda, boss akasema ni kweli.
Akamletea wine nyingine pia jamaa akainywa na kusema imetengenezwa uingereza akataja na kiwanda, boss akakubali pia.
Hapo ikabidi boss amkonyeze na kumvuta pembeni secretary kisha akamwagiza kitu.
Baada ya dakika kama nne secretary akaja na glass yenye mkojo akampa jamaa.
Jamaa akainywa kisha akasema," ni mary miaka 28, ana Mimba ya miezi 3 ambayo ilitungwa hapa Ofisini na kama sipati kazi nitamtaja na baba"
Boss akaanguka na kuzimia
kama wabisha njoo Whatsapp 0713317171
0 comments: