HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI.
HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA
HASOMESHWI.
HASOMESHWI.
Wanawake wana akili wanazozijua wenyewe, hata ungemkuta akiwa analala chumba kimoja cha mbavu za mbwa na kaka zake watano, ukamwonea huruma, ukampenda na kumtoa kwa kumpeleka shule, likijitokeza jamaa linajua kuimbisha anasahau mema yako yote. Kama unaamua kusomesha aende akiwa na mimba kabisa au akiwa ameshazaa
0 comments: