Mapacha wakubali kuolewa na bwana mmoja

Hawa ni mapacha wawili,wanaitwa Lucy na Anna.Ni mapacha wa Western Australia ambao wamekubaliana kuwa na bwana mmoja,huyu boy friend wao anaitwa Ben na walikutana nae kama "Mutual Friend" facebook.
Kila ifikapo usiku Anna na Lucy huchangia kitanda kimoja na mpenzi wao Ben,ambaye wanaamini anawapenda wote kwa usawa.Anna na Lucy ni mapacha waliopishana dakika moja tu wakati wa kuzaliwa,hapo nyuma kila mtu alikuwa na mpenzi wake lakini wakaja kuona ni kama hajakamalika kwa kuwa na mpenzi tofauti hivyo wakaamua kuwa na Ben kwa wakati mmoja.Hali hii imewaletea umaarufu sana katika mji wanaoishi na katika mitandao ya kijamii....

0 comments: