NENO LA LEO

10:40:00 Unknown 0 Comments

NENO LA LEO

RAFIKI AFUI
Atatafuta awe karibu nawe
Atajifanya MTU mwema
Atatafuta kukujuaa ndani,nje
Ataanza kukuchumguzaa
Atakufuatiliaa kila pembee,kisha
Ataanza kikuchafuaa
Ataponda jitihada zakona lolote unalosimama kwako
Atakutaja popote  ikiwa ni kuua  na kuharibu
Asipopatiwa dawa basi atahakikisha Amekumaliza kasiba

SIKIA RAFIKI
Adui mbaya
Ni yule unaekula nae
Mungu akupe Macho ukimgunduaa,Achilia aende katika  
Hao Unaita Rafiki zako HAWAEMDI UNAKOENDA
Ila  wapo ili kukuchelewesha njiani
MUNGU akuepushe na MARAFIKI wasiofaa maisha ni mwako
Usiamini kila mtu 
Neno la Mungu linasema jihadharini na wanaadamu 
SI KILA MTU WAPASWA KUMRUHUSU APITIE KWENYE MALANGONI MWAKO 
WENGINE WAPENDE WAKIWA MBALIIII

Nawatakia siku Njema na Mungu awape macho ya ROHONI mpate kutambua Marafiki wazuri ktk maisha Yenu 
😘😘😘😘😘

http://tabasamunafuledi.blogspot.com/2014/06/kamwe-sitosahau-jinsi-mme-wangu.html

You Might Also Like

0 comments: