Una ndoto za kumiliki kituo cha radio?

12:36:00 Unknown 0 Comments

Una ndoto za kumiliki kituo cha radio?
Semina yetu ni ijumaa wiki hii kuanzia saa nane mchana katika ukumbi wa Brunei Executive Resort Ubungo, Dar es salaam.
Upo karibu na kituo cha daladala mawasiliano au simu 2000.
Ada ya ushiriki ni Tshs 25,000/ tu. Thibitisha ushiriki wako kwa namba 0768188429


You Might Also Like

0 comments: