Usikose semina ya namna na taratibu za kufungua kituo cha radio

05:21:00 Unknown 0 Comments



Usikose semina ya namna na taratibu za kufungua kituo cha radio itakayofanyika katika ukumbi wa Brunei Resort Ubungo, Dar es salaam. Ni karibu kabisa na kituo cha daladala cha simu 2000.

Ni kesho Ijumaa tarehe 29/07/2016 kuanzia saa nane kamili mchana kwa ada ya Tshs 25,000/= tu. Thibitisha ushiriki wako uweze kuwekewa nafasi yako kwa kupiga simu namba 0768188429.

You Might Also Like

0 comments: