ATM
Dem: Hny mambo jamani!
Man: Safi nipe habari wangu wa moyo
Dem:Wafanya kazi gani vile wangu?
Man: Ni fundi wa kufunga ATM
Dem: Wow dont tel me i love you myn mwa mwa mwaaaaah
Man: Mbona wafurahia?
Dem: Nami natamani kuja kufanya kazi za kibenki.
Man: Itakua poa sana nami natamani pia
Dem: Hee si umesema wafanya kazi ya kufunga ATM?
Man: Hukunielewa mie ninafunga mashine na za kunulia condom kwenye bar
Dem: nipishe huko

0 comments: