Samaki samaki ya mbezi makonde yateketa kwa moto Muda huu

12:32:00 Unknown 0 Comments

Kiwanja maarufu cha kupata raha na kutumia ankara cha samaki samaki tawi la Mbezi-Makonde jijini Dar kimewaka moto na kila kitu kuteketea.

Bado haijaelezwa chanzo cha janga hilo



You Might Also Like

0 comments: