Mambo 12 ya kuyaepuka katika maisha yako
1. Kutojiamini katika kila ufanyalo
2. Kuwa na mawazo hasi kila mara
3. Hofu ya kushindwa mambo yako
4. Kuwa na mahusiano mabovu na watu wa karibu yako
5. Kuamini maneno ya uvumi (umbea)
6. Kuwa mbishi wa kila kitu bila faida
7. Kuwa mvivu
8. Kujiona wewe uko chini kila ukitaka kutoa mawazo mbeleya wenzanko
9. Hofu ya mafanikio
10. Kutokuwa na hofu ya MUNGU
12. Kujadili watu kuliko kushika wajibu wako

0 comments: