Kuwa mjasiliamali kwa mtaji usiozidi 50,000

15:43:00 Unknown 0 Comments





Umekuwa ukitamani kuwa na biashara unayoimiliki wewe mwenyewe?

Au ulitamani kujipatia faida ya biashara kutokana na mikono yako?

Utasaidiwa kuanzisha biashara yako ya Ujumbe mfupi wa maneno (SMS) popote pale ulipo ndani ya Tanzania.

Nitauzaje SMS?

o Zitatumika kutuma ujumbe wa kukumbusha vikao, malipo na miadi mbalimbali
o Kutuma ofa na punguzo za bidhaa mbalimbali na kuwaleta wateja karibu yako
o Kutambulisha huduma mpya na bidhaa kwa wateja wako
o Kutuma ujumbe wa dharula kwa wateja na makundi mbalimbali ya watu unaohitaji kuwataarifu
o Kukusanyia habari au maoni mara moja na kwa urahisi
o KUpeleka salamu kwa marafiki na wanafamilia

Nani atakuwa mteja wangu?

o Wafanyabiashara wakubwa na wadogo
o NGOs pamoja na vikundi mbalimbali vya kijamii
o Shule na vyuo mbalimbali
o Waandaaji wa matamasha, semina, harusi, Birthday
o Vikundi vya kanisa na makanisa
o Bar mbalimbali na Nightclubs
o Mahoteli na sehemu nyingine mabmbali

Wasiliana nami sasa - 0713317171  au fred@lifetimeent.co.tz

You Might Also Like

0 comments: