nilitaka kujua kama ile sms ya kwanza uliipata
Samahani mke wangu naomba unifulie nguo zangu zile nilivaa juzi na uzipige pasi.'Muda ukapita mke hakujibu...mume akatuma sms nyingine: 'Pia nilisahau kukuambia kuwa hapa ofisini nimeongezewa mshahara mara tatu ya mwanzo na nimekununulia
zawadi ya gari.'
Haikuchukua sekunde mke akajibu: 'Wow♥ Unasema kweli mume
wangu?
Mume: 'Nakutania tu, nilitaka kujua kama ile sms ya kwanza uliipata

0 comments: