13:58:00 Unknown 0 Comments



Siku moja Fuledi akiwa mdogo sana aliitengeneza kadi kwa kutumia mikono na kuwapa wazazi wake…..

Katika ile kadi yake ndogo ndani yake ikiwa na picha nzuri aliandika maneno haya ….. “kuna wakati nawaudhi wazazi wangu kwa kuwa ni mdogo na nina andika andika ukutani–

Ila ninakua kila siku– na kuna siku haya maandishi yangu ukutani yatapotea kabisa na mimi nitakuwa mtu mzima ….hivyo ninaandika maneno haya leo kwa kutumia kadi hii ili muweze kuyaweka katika kumbukumbu zenuivy–  na kwa uhakika mkumbuke maandishi yangu yalikuaje nikiwa mtoto mdogo”……

Funzo

Usisite kutumia muda wako kukaa na watoto wakati mambo yako hayapo sawa au mpaka upate fedha nyingi sana au mwaka ujao ukiwa huru na kazi zako za kiofisi na una muda mwingi” …

Kama huta yafanya Maisha yako kuwa ya furaha kwako, Maisha yatakufanya usiwe na furaha, kwani Maisha hutufanya tuwe na tabia za ubinafsi kwetu ….

Zawadi kubwa uliyonayo kwa wanao ni nafasi ya muda wako kwa ajili yao …

You Might Also Like

0 comments: